Pages

Tuesday, August 30, 2011

Mitaa ya Tandika Azimio

barabara hii inatokea mtongani kuelekea sokoine hadi azimio

 Sasa hivi vumbi tunalisahau sahau kidogo Mikeka imetandikwa kwa kiasi chake

 Dawasco Maeneo ya Sokoine Maarufu Mashine ya Maji

 Mabango yanatusaidia kutuelekeza

 Mitaa ya Sokoine

 Mitaa ya Azimio hali ndio ilivyo kwa sasa

 Shule ya Msingi azimio muenekano wake ulivyo kwa sasa

 Shule ya Sekondari Azimio

Uwanja wa Shule ya Msingi Sokoine

1 comment:

  1. Ebana si mchezo mzee mwenyewe, asante sana kwa picha za uhakika,naona hapo picha ya kwanza kulia kwake ndo kuna uwanja wa YeKeYeke FC hapo mashinne ya maji.Pia uwanja maarufu wa MZIZI naona umesahau kuufotoa hapo Azimio,nimefurahi sana kuona maeneo yote sasa ni kiwango cha LAMI. Shukrani kwa picha mzee wa temeke kazi nzuri,Ubarikiwe.

    ReplyDelete