Pages

Monday, August 29, 2011

KIPAJI TOKA MOYONI-KUYONZA

 Moja ya picha alizochora Kuyonza kini hapa akitumia Pencil shading (Mwanamke ndani ya Hijabu)

 Hapa ametumia water Color Panting


Kuyonza Kini kulia akiwa na mmoja wa walimu wake Mzee Raza katika baadhi ya kazi sanaa zilizofanyika golden tulip
Anahitaji msaada wa Kimawazo na changamoto mbalimbali ili kuendeleza kipaji  chake, na kama unahitaji kufanyiwa design ya michoro yoyote unaweza kuwasiliana kwa namba hii
0717 744 225

1 comment: