Pages

Thursday, June 27, 2013

UKOSEFU WA VIWANJA

 Hali inazidi kuwa mbaya baadhi ya maeneo ya Temeke kutokana na viwanja vingi kuvamiwa na kujengwa magodown na vingine zimekuwa sehemu za kuegeshea malori kinachofanya mpaka watoto kukosa nafasi za kuchezea
 Hapa watoto wakikimbizana barabarani
 wakiwa barabarani wakiendelea na michezo



Vpaji vinapotea kutokana na hakuna sehem maalum za hawa watoto kuonekana au kukusanyika na kuonyesha walichonacho.