Pages

Wednesday, June 12, 2013

KANDA MSETO YA NASH MC SOKONI


Msanii wa Hip Hop Nchini Nash Mc Mpalestina Chizi ameanza kuuza rasmi kanda mseto yake yenye jina la CHIZI kutokana na maelezo yake hakuna wasambazaji aliowapa, anazisambasa yeye mwenyewe pamoja na Tamadun Muzik, Mseto huo una nyimbo 15 na zinapatika kwa kiasi cha Tshs. 5000/= ukizihitaji piga No.0713 900 994