Pages

Wednesday, June 5, 2013

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MANGWEA LEO VIWANJA VYA LEADERZ

 
 Baadhi ya watu waliohudhuria katika mazishi hayo leo mchana
Tunaomba radhi kwa picha hii ila imebidi tuiweke kutokana na baadhi ya wadau na wao walitaka kuona na kuhakikisha walichosikia



 WEUSI
 KR MULLAH na ZOZO
 JB MABAGA, SENGO, PEMBE wakijadili jambo


 Roma


 Abdallah Ambua ambaye ndie alikuwa mwendeshaji na mwelekezaji katika mazishi hayo
 Cpwaa
 Mwili wa marehemu ukitoka katika viwanja vya leaderz
 Mkubwa Fella mmoja aliyetuwakilisha Temeke katika mazishi hayo

 Nash Mc akiwa na uwezo binafsi
 T.I.D rafiki wa karibu wa Mangwea akitoka kuaga
 Mama na Mwana
 Stara Thomas
Hawa nao washafanya yao taratibu wanajikata