Pages

Friday, June 7, 2013

TAARIFA YA MSIBA

Bi. Zubeda-Mama Kichochi, Mama Dulla  wa Temeke Wailes Mtaa Changani anasikitika kutangaza kifo cha Mjukuu wake Jeniffer Bilal Kibombo maarufu JLO kilichotokea usiku wa tarehe 7/06/2013 saa 2  nyumbani kwao Temeke Wailes Mtaa wa Changani, mazishi yatakuwa kesho tarehe 8/6/2013 saa 7 Mtaa wa Changani karibu na Msikiti wa Al qadirriyah. Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi amin
Mbele yake nyuma yetu