Pages

Tuesday, June 11, 2013

AJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA AMEFARIKI DUNIA


 
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka.. Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,





 
Naomba radhi kwa Picha hizo kama  zimekukwaza
Picha: Mpekuzihuru