Pages

Saturday, February 2, 2013

YANGA YAPUNGUZWA KASI NA MTIBWA

 Yanga 1- Mtibwa 1 goli la mtibwa limefungwa na Shabani kisiga, wakati goli la yanga limefungwa na Hamis Kiiza  katika dakika ya 85 mpaka sasa kuna tofauti ya point 2 na azam na 7 kwa simba