Pages

Saturday, February 2, 2013

MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JITEGEMEE

 Da Zamda akiwa na mataji yake baada ya kufanyiwa mahafali leo katika shule ya sekondari Jitegemee
 Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja
Husna Mlanzi ambaye ni mtangazaji wa Star TV alikuja kumsindikiza mdogo wake