Pages

Friday, February 1, 2013

CHAN'GOMBE BOYZ YAANZA NA VIJANA WAO

 Timu ya mpira wa kikapu ya Chan'gombe Boyz yenye maskani yake Temeke imeanza na ratiba maalum kwa vijana wanaotoka maeneo tofauti ya Temeke ili kujajaribu kuangalia vipaji na kuviendeleza vipaji hivyo, msimamizi mkuu wa program hiyo Mohamed Mbwana amesema kwamba wanatarajia kuifanya ya mda mrefu ili kupata wachezaji bora.
 Mazoezi yakiendelea katika viwanja vya TCC