Pages

Saturday, February 2, 2013

TAARIFA YA MSIBA

Temeke Pamoja inapenda kuwapa taarifa kuwa mmoja wa waendesha blog hii KC pichani amefiwa na Bibi yake mlezi ambaye alichukua majukumu ya kumlea akiwa mtoto mpaka sasa.Bibi amefariki leo asubuhi na mazishi yatafanyika kesho J,pili saa saba nyumbani kwa bibi Mbagala Charambe kituo cha magengeni.
Mbele yake nyuma yetu, Mungu ailaze roho ya Bibi yetu mahali pema peponi Amin