Pages

Wednesday, February 6, 2013

TANZANIA YAIDUWAZA KAMERUNI

 Goli pekee lililofungwa dakika ya 85 na Mbwana Samata Kipa wa Taifa stars Juma Kaseja akipata huduma ya kwanza baada ya kugongana na mshambuliaji wa Cameroun.
 wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cameroun wakijadilia jambo
 Penati ambayo waliipata Taifa Stars na mpigaji Erasto Nyoni
 Mashambulizi ndani ya lango la Taifa Stars
 Kipa wa Cameroun Effala akipangua penati ya Erasto Nyoni
 Mrisho Ngasa akipiga shuti langoni mwa Cameroun
 Hatari katika lango la Stars
 Kipa wa kameruni Effala akidaka krosi ya Erasto Nyoni
 Assou Ekkoto akiwa na kocha wake Rigobert Song wakitika katika kipindi cha kwanza
 Taifa Starz
 
 kapteni wa kamerun Paul Wome mwenye jezi no.3
 uzalendo muhim
 Ngasa na Ekoto wakigombea mpira
 wachezaji wa akiba wa Taifa Stars
 Beki wa kati wa kameruni aminou Bouba akimchezea rafu mshambuliaji wa Taifa Stars Mrisho Ngasa
 Mbwana Samata akifunga goli la pekee dk ya 85

 wachezaji wa timu ya Tanznia wakishangilia goli
 mpaka mwisho wa mchezo matokea haya
VIKOSI: TAIFA STAZ, Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Kelvin Yondan, Aggrey Morris, Salum Aboubakar 'Sure Boy', Mrisho Ngassa, Frank Domayo, Mbwana Samatta, Mwinyi Kazimoto na Amri Kiemba

CAMEROON: Effala komguep,assou ekotto,aminou bouba,ngoula,nyom allan,pierre wome nlend,kingue mpondo,bedimo henry,tchami herve,olinga fabrice,aboubak vicent.