Pages

Friday, April 6, 2012

TEMEKE MIKOROSHINI

 Hali halisi ya wakazi wa Temeke Mikoroshi huo mfereji harufu yake we kwa wewe usiyezoea tu lakini kwao haiwastui
 Daraja linalotumika
 moja ya vyoo vinavyotumika kwa wakazi wa maeneo hayo
 Mtoto akitoka chooni akiwa hana hata viatu mguuni
 choo
 Mfereji wa maji machafu ni maji machafu kweli
 Hawa wenye nyumba kando ya huu mfereji wanavumilia mengi sana
Huyu nae anasubiri hii nyumba ishuke kabisa

No comments:

Post a Comment