Pages

Tuesday, April 17, 2012

HILI NALO NENO

 Hili ndio deni la Tanzania linasomeka Trilioni 14 nukta 4 na kila Mtanzania anadaiwa TZS 335,000/= zikiwekwa kwa mtindo wa noti ya elfu kumi kumi na kuungwa ncha kwa ncha zitakuwa na urefu wa kilometa 216,000 ambapo ni sawa na kuzipanga Dar mpaka New York mara 17. Mzigo wa kulilipa tumebebeshwa sisi wananchi, jambo la kujiuliza nini kifanyike kulipunguza? Je, madeni hayo yamekusaidia kuweka maisha yako ktk neema? 
source;
 TAJOA
(TZ JOURNALIST ALLIANCE)

Dawa ya deni kulipa

No comments:

Post a Comment