Pages

Tuesday, April 10, 2012

MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA KANUMBA LEADERS CLUB

 Jeneza la Steven Kanumba likiwa mbele kabla ya waliohudhuria kutoa salam za mwisho
 Walioshindwa kujizuia
 Watu wa msalaba mwekundu walikuwepo kusaidia

 Umati wa watu waliohudhuria katika msiba huo




 Mwili wa marehem steve kanumba ukitoka katika viwanja vya Leaders na kwenda katika makaburi ya Kinondoni kwa kuzika

 Viongozi wa Serikali wakiwa katika mazishi hayo

No comments:

Post a Comment