Pages

Friday, April 6, 2012

MVUA YA SH.10 TU HUKU KWETU TAFRAN

 Baadhi ya maeneo ya Kurasini leo jioni baada ya kunyesha mvua hali hii kwa sasa inatokana na baadhi ya njia za maji kuzibwa na wakazi husika wa maeneo hayo
 Viwanja havichezeki
 Barabarani hakupitiki
 Hii Mitaa ya Davis Corner Tandika
Mtaa wa Mahunda Tandika

No comments:

Post a Comment