Pages

Friday, June 1, 2012

COAST MODERN WAPAGAWISHA MISS MBEYA

 Kundi la Muziki wa taarabu Coast Modern Taarab wanafanya shoo usiku huu katika ukumbi wa Mkapa Hall jukwaani mwimbaji wa kund hilo Omary Tego akitoa burudani
 Mpiga gita wa coast Modern Adam Kilinda

Omary Tego na Maua Tego wakiendelea kutoa burudani

Baadhi ya washiriki wa Miss Mbeya

No comments:

Post a Comment