Pages

Monday, March 5, 2012

MSIONE KIMYA WADAU


Najua wadau wengi muda mwingi umepita bila kuwapa habari zozote zinazojili uswahilini kwetu hali kidogo ilikuwa sio shwari nilistua enka katika harakati nyingine, naomba tuendelee kuvumiliana mambo yatakuwa mazuri hivi karibuni na kutafakari kitu kipya kipi tuanze nacho katika kuzidi kutia nakshi blog yetu.
Teme

5 comments:

  1. Ugua pole na afya njema ikurejelee mapema.

    ReplyDelete
  2. Pole sana mdogo wangu
    J.Harambe

    ReplyDelete
  3. Jembeeeeeee hata msg ulishindwa kunitumia kama umeumia?au kama usemavyo uliumia ktk harakati zingine kule maeneo yetu?pole mzazi pole sana ndio ukubwa mwanaume asifiwi kula anasifiwa...............?!kc

    ReplyDelete