Pages

Monday, March 19, 2012

DUNIA YA SOKA YAUNGANA


 Wapenzi wa Mpira Miguu Duniani wameonyesha hisia zao na kuwa kitu katika kumuombea mchezaji wa Bolton Fabrice Muamba ambaye alianguka ghafla uwanjani kutokana na matatizo ya moyo. Hii ni moja wapo ya hisia za Gary Cahill mchezaji wa chelsea ambaye msimu uliopita walikuwa wote Bolton
Wachezaji wa Real Madrid wakionyesha ushirikiano wao
Washabiki wa liverpool nao ge
kushoto: Shauwn Wright akiwa na Ashley Cole wakiingia katika Hospital aliyelazwa Muamba
Tuncay mchezaji wa Bolton akimsalia uwanjani
Mchezaji wa Totenham Jemain Defoe akiwasili hospital pamoja na mama yake
Mchezaji wa Arsenal Djorou akiingia Hospital
 Mawazo ya baadhi ya wachezaji katika mitandao tofauti


1 comment:

  1. Unapowaona wachezaji wa timu ya Real Madrid na Gary Cahill,na wengine wengi wakiwa wamevalia fulana, huku David Beckham akituma ujumbe, hiyo yote inaonesha wamemthamini Fabrice kama binadamu.
    One Love, One football
    Mbwana Samata
    T.P Mazembe
    DRC

    ReplyDelete