Pages

Saturday, March 17, 2012

SHEREHE ZA MAULID MSIKITI WA AL-MAJUMUWAT-TEMEKE MWISHO

Sheikh  Sharif Hussein wa Mombasa akitoa nasaha zake katika hafla hiyo ya Maulid
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Al had Mussa Salim (Nakshiband) akimsikiliza kwa makini Sharif Hussein Al Badawi wa Mombasa
 Baadhi ya waumini waliohudhuria sherehe hizo za kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W katika viwanja vya msikiti wa Temeke Mwisho

 Msomaji wa Qur-an kutoka Misri katika chuo cha Markaz akisoma Qur-an tukufu katika Sherehe hizo.
  Miongoni mwa wageni waliohudhuria katika sherehe hizo kutoka kushoto ni jaji mstaafu Msumi na Prof. Juma Kapuya wakibadilishana mawazo
 Mkuu wa majeshi Tanzania Gen. Davis Mwamunyange nae alikuwa  mmoja wa waalikwa katika shughuli hiyo pamoja na Dr. Idrissa Mtulya
 Mgeni rasmi Dr. Hussein Ally Mwinyi akitoa nasaha zake
Kadhi Mkuu wa Tanzania Mufti Shaban Idd Simba akihutubia katika sherehe hizo za Maulidi, pembeni yake ni Naibu Mufti Ally Muhidin Mkoyogole

1 comment:

  1. ok endeleeni na uchamungu wenu kuliko kina Abuu bakri, umar, uthmani na ally, zaidi kuliko imam shafii , ahmad , malik na abuhanifa wote walikua si wachamungu hawakujua maulid nyie ndio mnayajua sana na mwampenda sana mtume (saw)kuliko wote waliopita
    Hongereni sana

    ReplyDelete