Pages

Tuesday, May 14, 2013

JUMA NATURE AANZA KUTENGENEZA VIDEO YA HAIPOTEI

 Juma Kasim (Nature) akiwa na mmoja wa mtu wake wa karibu maeneo ya Kigamboni ambayo hiyo video inachukuliwa.
 Wakiingia location tayari kwa kuanza kazi.
Moja ya vipande ambavyo vitakuwepo katika nyimbo hiyo.