Pages

Thursday, May 16, 2013

HUKU KWETU SISI

 Mmoja wa wapiga kazi wa TemekePamoja Iraq akichagua samaki wa mafungu bei Shs.400/=maeneo ya  Yombo Buza
 Pilipili nyingi
 Hatuendagi Nandoz, American Chips hapa kipimo kuanzia 200/=
Haikuzidi buku jamaa kashiba kwetu sisi huku kwenu je!