Pages

Tuesday, January 8, 2013

OMARY OMARY AFARIKI DUNIA

hii ni picha ambayo blog ya TemekePamoja ilimpiga wakati akitumbuiza katika tamasha la amka kijana lililofanyika katika maeneo ya Temeke

Msanii maarufu wa mchiriku ambaye makazi yake Temeke Omary Omary amefariki leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu mpaka sasa hatujapata taarifa rasmi mazishi yatakuwa lini na wapi ila tupo njiani kuelekea kwenye msiba. mbele yake nyuma yetu ( M.A.P) Ommy