Pages

Tuesday, January 8, 2013

HALI ILIVYO KWA SASA KATIKA MSIBA WA OMARY OMARY

 Kessy ambaye ni Mwakilishi wa Temeke Pamoja mwenye flana nyeupe akiwa na Mkubwa fella mwenye kanzu na Bonga mwenye shati la mistari eneo la msiba Temeke Mikoroshini
Dully Sykes nae alikuwepo katika kufanikisha suala la zima la msiba huo, Maziko yatafanyika kesho saa 7 mchana kwao Mikoroshini Temeke