Pages

Tuesday, January 1, 2013

MECHI YA FUNGA MWAKA

 Kila mwisho wa mwaka kunakuwa na mechi ya kufunga mwaka na mara hii tena wazee wamewafunga tena vijana goli 3-2 hiki ni baadhi ya kikosi cha wazee waliosimama kushoto: Anusa, Ngawina, Peter Mkwera, Salvatory Edward, Muharami Shilton, janka na David Beatus.
waliochuchumaa: Salum Terry, Ammy, Patty, Mswaki, Abdallah Boli, Mbaba na Hamadi Hadi
 kushoto: Samir Luhava, Stanley Nkomola, Kicheko, Hassan Dilunga, Ticha, Dullah, Babu Rashidi na Koyo
 Kapilima, Shilton, Boli na Kabange jr
kikosi cha veteran ya Temeke