Pages

Wednesday, October 3, 2012

YANGA vs SIMBA WASHINDWA KUTAMBIANA

 Shabiki wa Yanga akiwa amejichora
 Wapenzi wa Yanga waliohudhuria mechi hiyo ya wapinzani wa jadi
 Simba Rama Mzee wa Bandari mwenye flana nyeusi akiwa shemeji
 Wachezaji wa simba wakishanglia goli lililofungwa na Amri Kiemba katika dakika ya 5 na goli hilo lilidumu  kipindi cha kwanza kabla ya kipindi cha pili Said Bahanuzi kusawazisha goli hilo lililofungwa  kwa njia ya penati baada beki wa Simba kuushika mpira katika eneo la hatari hadi mwisho Yanga 1 - Simba 1





No comments:

Post a Comment