Pages

Monday, October 1, 2012

WAKONGWE WAWADUNDA VIJANA

 Timu ya Veterani ya Temeke Combine ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwafunga vijana kwa goli 1-0 katika uwanja wa Temeke Squad
 Director Abeid Bonge alikuwepo kuwakilisha timu yake
 Kikosi cha Vijana kilichoundwa katika mchezo huo
 Diwani mstaafu Fotonatus Man`gwela akifatilia pambano hilo
 Chale Born mwenye flana nyeupe
 Peter Kabea mwenye flana nyekundu na Hamza Jackcha
 Konyaki mwenye kanzu nyeupe akiwa uwanja wa squad Temeke
 Mmadi Kiboba na Testa
kushoto Jackcha, Savio na Babu Rashid

No comments:

Post a Comment