Pages

Friday, October 12, 2012

HALI ILIVYOKUWA MBAGALA LEO

 Hali haikuwa nzuri leo katika maeneo Mbagala baada ya Waislam kuandamana leo kupinga suala la mtu mmoja kukidharirisha kitabu kitukufu cha Qur-an kwa kukikojolea na kukitemea mate.
Na kingine kilichotokea baadhi ya Polisi walikuja kunikamata na kuniweka katika difenda yao kwa muda wa saa nzima mwishowe eti wakataka niwapoze
 Barabara zikiwa zimefungwa baada ya maandamano hayo
 Wakina Mama waliokuwepo katika maandamano hayo







 Waislam wakiwa katika barabara ya Mbagala kupinga suala la kukojolewa kwa kitabu kitukufu cha Qur-an
 Maeneo yote ya Mbagala
Kikosi cha FFU wakiwa barabarani kutawanya waumini wa Dini ya Kiislam
 Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislam wakimtaka mtu aliyekojolea Masahafu, huko Mbagala hapa ilikuwa katika kituo cha Polisi cha Zakheim
Wanafunzi wakiwa katika hali mbaya baada ya kuathiriwa na mabomu.

No comments:

Post a Comment