Pages

Sunday, October 14, 2012

JUMBA F.C YAFUNGWA FAINALI NA GHAZA


 Timu ya mpira wa miguu ya Jumba fc ya Mtoni kwa kindande wameweza kufungwa goli 1-0 na Ghaza Fc katika fainali iliyochezwa katika uwanja wa Temeke Squad.
 Watu wengi walikuwepo katika kushuhudia fainali hiyo.
 Mullah mwenye jezi nyeusi wa Jumba akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Ghaza




 kama kawaida ya Jumba lazima mechi isimame wanakichafua kwanza halafu mechi inaendelea
 hapa kishachafuka baada ya mechi kuisha
Uwanja hautamaniki

No comments:

Post a Comment