Pages

Thursday, February 2, 2012

MWONEKANO WA TEMEKE

 Hili eneo ni la Temeke Sudan Njia panda ya kuelekea Tandika na kituo cha Mabasi cha Temeke Mwisho

 Uwanja wa Bandari unavyooneka
 Barabara ya Temeke kuelekea Mtoni. Mbagala
 Maeneo ya Temeke Mwisho
Baadhi ya nyumba za Wailes Miburani





4 comments:

  1. Duh! i lov this blog so much...yani umeniacha hoii sana mtu wangu...TMK jamani naimisije.

    ReplyDelete
  2. Jamani piga picha pale kwa masangati chips kuku kachumbali.

    ReplyDelete
  3. Mkuu usisahau kutubandikia mtaa wa kitomondo....
    CCM tawi la wailesi na nyumba zinazoiangalia upande wa kitomondo na himo.
    Kobello
    States.

    ReplyDelete
  4. jamni tumemiss tmk yetu uku tumekuja tafuta maisha hayaendi wanabana t.umemissje.kwa masangati

    ReplyDelete