Pages

Tuesday, January 25, 2011

ABOBAINI YA AMINI AKIDA

Marehemu  Amin Akida
Familia ya Akida wa Temeke inapenda kutoa shukrani kwa wote walioweza kuwa pamoja toka mwanzo wa msiba mpaka Arobaini ya ndugu yao mpendwa.Hawana cha kuwalipa zaidi ya kumuomba Mola awazidishie Imani na Upendo na kuwatilia wepesi kwa Yote mnayofanya.
SHUKRANI ZA DHATI 

 kisomo cha kumrehemu kikiendelea

 Baadhi ya watu waliohudhuria katika kisomo

 Saidy Akida kaka wa marehemu akijaribu kuweka sawa mambo
 wahudhuriaji wakijiandaa kupata sadaka


 Wakinamama nao wakipata sadaka

wasimamizi wakuu wa shughuli wakiwa katika picha ya pamoja

2 comments:

  1. m.mungu amlaze mahala pema,amsameh makosa yake,poleni wafiwa inasikitisha sana kafa kama mchezo mh..kifo kweli duniani tunapita

    ReplyDelete