Pages

Thursday, October 2, 2014

NDONDO CUP: TEMEKE SQUAD NA SEGEREA WASHINDWA KUTAMBIANA

Timu ya Segerea
 Mashindano yanayoendelea kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam yanaendelea katika viwanja tofaouti wakati katika kundi H Temeke Squad na Segerea wamegawana point baada ya kuanza mechi ya raundi ya kwanza kwa suluhu ya goli 2-2
 Temeke Squad
 Timu zikikaguliwa kabla ya mchezo



No comments:

Post a Comment