Pages

Sunday, October 19, 2014

NASH MC AFUNIKA TEMEKE SHOW


 Msanii wa hip hop Nash Mc aka Mpish mkuu, kenyata, shokoshugi, maalim nash,vitasamoto ameweza kuwapa burudani ya kutosha wapenzi wake waliofika katika uwanja wa chuo cha Bandari Tandika kwa shoo kali ambayo kila mtu ameondoka akiwa ameridhika na alichokipata
 Tamaduni Muzik walikuwepo
 Ume Masim na Escober wakiwakilisha

 LWP wakitumbuiza
 Snota
 Nash Mc mpishi Mkuu akifanya yake jukwaani







No comments:

Post a Comment