Pages

Saturday, October 18, 2014

MAANDALIZI: NASH MC TEMEKE SHOW

 Hatua ya mwisho ya maandalizi ya Nash Mc Temeke Show itakayofanyika siku ya jumapili ya tarehe 19/10/2014 katika ukumbi wa Bandari kuanzia saa 9 Alasiri
 LWP watakuwepo
 Salii Teknik
 P the MC akibadilishana mawazo na teknik
Nash Mc akiwa na P the Emcee

No comments:

Post a Comment