Pages

Wednesday, October 22, 2014

KAPUMZIKE KWA AMANI YESAYA AMBOKILE YP

 Mwili wa marehemu ukitolewa Temeke Hospital
 Juma Nature, KR na Dolo walikuwepo kumsindikiza ndugu yao YP
 Madee, Fella na Chege wakisubiri kuushusha mwili wa marehemu nyumbani kwao keko
 Temba, stiko na Martin
 watu wakipata chakula

 Jeneza la marehemu likisubiri ibada ya mwisho
 Mchungaji akitoa nasaha zake


 Mkubwa fella akienda kutoa historia fupi ya marehemu


 Mwili wa marehemu ukipelekwa viwanja vya sigara kuagwa



 Wananchi waliojitokeza kuaga
 hali ilivyokuwa makaburini
Profesa jay mmoja waliohudhuria katika msiba huo

No comments:

Post a Comment