Pages

Sunday, December 2, 2012

KILA MTU ANALILIA KWAKWE JOTO LA BONGO BARAFU LA ULAYA




                 Unajua kuna vitu vingine vizuri uhadisiwe tu usishuhudie maana hatari
      Hapa mwenye gari inabidi adamke asubuh na mapemba aanze kutoa barafu
          Hali kama unavyoiona hii ni Stockholm unaweza kusema hawaishi watu hapa
            Nilipotoka mlangoni nikakutana na usafiri wangu umejaa snow.
     Kazi ndio kama unavyoiona sasa ukishuka dar miezi hii unakutana na joto la hatari sana,ila kwa sisi watoto wa uswazi sio kesi kwetu huwa tunalala nje kupata hewa ya muarobaini haijarishi nimetoka ulaya kuna snow.Naipenda Tanzania naipenda Dar es salaam.