Baadhi ya wanafunzi Wa while ya msingi Mtimbwilimbi wakiwa njiani wakirejea majumbani
Wakati wengine milioni 10 ya mboga huku watu wanaendelea kula mizizi ambacho ndio chakula maarufu kusini wengi wanakiita Ming'oko
.jpg)
.jpg)

| Msichana huyu Aisha Nabukeera alichomwa na mama yake wa kambo mnamo mwaka 2006. Habari hii iligonga sana vichwa vya habari vya Afrika Mashariki. Mfanyabiashara mwenye mafaniko Frank Gashumba alimchukua na Kumfanya Mtoto wake na kumsomesha. Sasa hivi amefaulu mtihani wake wa kidato cha sita na anategemea kujiunga na Elimu ya Chuo kikuu na ndoto zake ni kusomea sheria. Chanzo:JF |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassani Mwinyi akipita kando ya jeneza lenye mwili wa John Komba.
Mkuu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, Selemani Kova, akipiga saluti wakati wa kuaga.