Pages

Wednesday, December 29, 2010

WEZI WA PIKIPIKI WAUAWA TANDIKA


Polisi wakimbeba mmoja wa wezi waliotaka kuiba PikiPiki



watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wezi wa pikipiki maarufu bodaboda wamepigwa na wananchi wenye hasira kali kupigwa na kufa papo hapo baada ya kutaka kuiba pikipiki. Tukio hilo limetokea maeneo ya Tandika kati ya Mtaa wa Ngomano na Kitunda walioshuhudia tukio hilo walisema watu hao walitokea maeneo ya Tandika Sokoni baada ya tukio hilo polisi walikuja na kuchukua maiti hizo kwa uchunguzi zaidi

1 comment:

  1. Kaka hii ki2 inabidi iwe adressed kwa undani kabisa...coz kuua hawa wezi sio solution,toka waanze kuchoma moto wezi mbona wa2 hawaachi kuiba,yaani m2 kabla hujapika tofali mwizi inabidi ufikiri kuwa angeweza kuwa ndugu yko....yani jambo ambalo lipo kinyume na uanadamu,yaani its a disgrace kaka,

    ReplyDelete