Pages

Thursday, December 23, 2010

TMK MABINGWA WA NETIBOLI 2010

Timu ya netiboli ya Temeke imeiadhibu pwani 50-25 na kuibuka mabingwa wapya wa kombe la Taifa katika mchezo mkali na wa kusisimua uliofanyika katika uwanja wa shule ya Filbert Bay kibaha Mkoani Pwani. Robo ya kwanza inamalizika TMK walikuwa wakiongoza kwa 14-5 na mabao yote yalipachikwa na Mwanaidi Hassan na Matalena Mhagama robo ya pili 23-13 hadi mwisho wa mchezo TMK waliibuka Mabingwa kwa Pete 50-25

1 comment: