Pages

Sunday, December 26, 2010

UCHAGUZI WA SIMBA -TAWI LA WAILES TEMEKE


 
Viongozi wapya wa Simba Sports Club-Tawi la Wailes-Temeke

Wasimamizi wakuu wa Uchaguzi Mzee kitwana na Mzee Mbegu wakifatilia mchakato unavyokwenda

 kutoka kulia M/kiti Saidi Kipayi katikati Makamu Bi Anna Masebo na Bwigane wa TBC

  • Tawi la S.S.C tawi la Wailes Temeke limefanya uchaguzi wake leo kwenye Ukumbi wa Anna Inn. viongozi waliochaguliwa kuendesha tawi hilo ni:-
      • M/Kiti     -     Saidi Kipayi
      • M/M/kiti  -     Anna F. Masebo
      • Katibu     -     Arafa F. Bofu
      • K/Msaidizi  -  Vinta J. S
      • M/Hazina    -   Said Nyambuki
      • M/Hazina 2 -   Vaileth Nyambe
      • Mjumbe Mkuu wa Wilaya - Fortunatus Mang`wela
      • WAJUMBE
      • Jumanne Insama
      • Oliva Boli
      • Beatus Mongele
      • Athuman Lugome
      • Salma Kyula

2 comments:

  1. Viongozi mmepatikana kwa sera na ahadi mlizotoa na wanachama wakawaweka madarakani kwa ridhaa yao. Kumbukeni kutimiza kile mlichahidi kwa maendeleo ya Simba Sports club na maslahi binafsi yawe nyuma.

    ReplyDelete
  2. hongera viongozi wa Tawi la SIMBA Wailes

    SIMBA OYEEEEE.....!!

    ReplyDelete