Pages

Saturday, November 29, 2014

HELKOPTA YA MALIASILI YAANGUKA NA WANNE WAFARIKI


 Helkopta hiyo ilivyo haribika vibaya
 Miili ya watu waliokuwemo kwenye helkopta hiyo ikiwa imekandamizwa na mabaki ya chopa hiyo.
  Helkopta aina ya Chopa iliyoanguka maeneo ya Kipunguni B Ukonga jijini Dar es Salaam, leo asubuhi na kuua watu wanne waliokuwemo akiwa ni rubani pamoja na askari watatu.
 Watu wa usalama wakiwa eneo la tukio.
Sehemu ya Wananchi wakiwa eneo la tukio
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Kampanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaa, Kamishna Suleiman Kova wakiwa eneo la ajali. Picha ndogo ni Mrakibu wa Polisi Capt. Kidai Senzala enzi za uhai wake 
---
HELKOPTA ya wizaya ya Maliasili na Utalii iliyo tolewa msaada kutoka kwa Taasisi ya Howard G. Foundation inayomilikiwa na mfanyabiashara mashuhuri nchini Marekani Bw. Warren Buffet  na kupokelewa nchini na Waziri wa Maliasili na Utalii June 14, 2014 jijini Dar es Salaam imepata ajali na kuua watu wanne hii leo.

No comments:

Post a Comment