Pages

Saturday, April 6, 2013

AZAM vs BARRAK YC HAKUNA MBABE

 
 Azam F.C imeweza kuendelea raundi ya pili leo baada ya kupata suluhu ya 0-0 na BYC ya Liberia Azam imeweza kupata ushindi wa jumla ya magoli 2-1. kupita huku Azam itakutana na timu moja ya Morroco
 Barrack Yc
 Kikosi cha Barak Yc
 Kikosi cha Azam
 washabiki wa azam


 Moja ya goli la wazi ambalo Azam walikosa

 Anglia hali ilivyokuwa


 huu ndio ukawa mwisho wake