Pages

Tuesday, October 12, 2010

UNAUJUA UCHOCHORO HUU BALAA LAKE

                  Huu ni Uchochoro uliopo kati ya Mtaa Sudan na Mtaa Mkumba Temeke

                           Huu uchochoro kuna wasichana wanaouza miili yao

                             Mmoja ya wasichana wanaojiuza akisubiri wateja

                           Hapa kuna mtu aliiingia akawa anamfuata chumbani

                                         Hapa bado sijajua nini kinaendelea,
                                          Endelea kufuatilia........................................
                                na wakazi wa eneo hilo wanasema nini kuhusu suala hilo

5 comments: