Pages

Friday, October 15, 2010

TEMEKE-SUDAN

                Mazingira yalivyo maeneo ya Temeke-Sudan kuelekea Temeke Mwisho
                        Ghorofa linaloendelea kujengwa zamani ilikuwepo Sudan Hotel

               Kituo cha Mafuta cha Big Bon Zamani kilifahamika kwa Machupa

                       Ofisi za mabasi ya Magari yanayokwenda mikoa ya  kusini

                           Barabara ya Temeke  kuelekea kituo cha Temeke Mwisho

                                    Ofisi za Zantel zilizopo Temeke Sudani


                               Wamerahisisha safari kwa wakazi wa Temeke
                             huduma za zantel zote unaweza kuzipata  hapa

2 comments:

  1. Mwana Temeke unatembelea sana Sudan njoo na mitaa ya kwetu Mtoni tukuonyeshe mazingira halisi ya Temeke sio huko
    Hongera mwana Temeke usikate tamaa endeleza michakato ya kuikomboa Temeke

    ReplyDelete
  2. Umeonaa eeh mkubwa au kama vp chimbuka mitaa ya Mikoroshini tukuonyeshe machimbo yalivyo

    ReplyDelete