Pages

Saturday, May 17, 2014

BAADHI YALIYOJILI MWEZI WA NNE

 Shobigo style Mtanzania pekee aliyeiwakilisha nchi yake katika mashindano ya dance ya red bull huko Afrika Kusini na kushika nafasi tatu za juu

 Mafuriko yakaikukmbuka jiji la Dar es Salaam
 Samaki wa ajabu aliyevuliwa katika mashamba ya mpunga huko Morogoro

Yanga kupoteza wachezaji wawili Didier Kavumbagu na Domayo ambao wote wamesajiliwa na Azam kwa msimu unaokuja.
Wawakilishi katika bunge la katiba Ukawa walivyolisusia Bunge

No comments:

Post a Comment