Ni mpira wa Miguu ambao kuna umri wa utoto lazima ucheze usipocheza utoto wako haujakamilika hii haina kanuni kila mtoto anaonyesha uwezo wake wa kucheza soka hii nimeikuta Kati ya mtaa Rusende na Miteja zamani garden
Hata ikipatikana mita 10 mpira huwa unachezeka
Mpira ukiendelea kuchezwa
No comments:
Post a Comment