Marehemu Farisi Said
Baadhi ya rafiki wa karibu waliohudhuria katika msiba huo David Beatus Michael Ziwakuu Mwenye shati la mistari pamoja na simon Butte.
Tambwe Hizza pamoja na kocha wa Moro Utd Hassan Banyai (Ginks)
Yahya Issa Hassan Banyai
Kutoka kushoto, Fauz Seif, Suma Addo, Capt. Mngodo pamoja na Bogwa walikuwepo katika msiba ambapo mazishi yake yalifanyika katika makaburi ya Chan`gombe
Saidi bungara pamoja Alex Mulisa
Kushoto Ally Sule, akiwa pamoja na Othman Faya
Selemani Mkati pamoja Mohamedi Husein na Kaburu
Mohamedi Unyago wakizungumza jambo na Mzee Sulle
Kaka wa Marehemu Abdul Achimwene akifarijiwa na baadhi ya jamaa wake wa karibu.
Chale Bonny mwenye flana ya njano, Athuman Faya Flana ya ngazi , Fanaka,gadi Mula wakibadilishana mawazo
Mwalimu Abdul Mingange akiwa Salvatory Edward moja ya zao lake katika timu ya Opec nao waliweza kuhudhuria katika maziko yake, Temeke pamoja itajaribu kumtafuta Mwalimu Mingange kuna sula inabidi tujaribu kuongea nae ana mambo mengi ya kutueleza
Simon Butte pamoja na Dubwi moja zao la Mwalimu Mingange
baadhi ya watu waliohudhuria makaburini
Nyanda Peter Kabea,mwenye flana, Mjumbe wa Tefa Fikiri Magoso,mwenye kofia diwani aliyepita wa Miburani Photonatus Mangwela pamoja na Abas Bungara
Farsy ulikuwa fundi katika soka, nilibahatika kukuona sana hasa ukiwa na British nili ku admire na unapokuwa katika line up ushindi nilikuwa nautazamia kwa asilimia kubwa sana.
ReplyDeleteMapenzi yake Mungu yametimia na kwetu tunacholazimu kwako ni kumuomba Mwenyezi mungu (Subhaana hua Taala)akusamehe madhambi yako na ailaze roho yako mahali pema peponi - AMIN.
Rest in peace hommie!!...salaam toka kwa mdau Chris(kobu),st.louis,missouri.
ReplyDeletemungu amlaze pema peponi,amin.
Sad news! Ndio naona hii habari.
ReplyDeleteR.I.P. Faris
Abdul na family poleni sana.
PAMOJA thanks for posting the news.
Pierre
London,
Poleni familia ya Achimwene, Abdu (Costa) pole sana, British FC
ReplyDeleteRest in peace Farsy
De Gouza
Houston (USA)
dah poleni na msiba,yaani unanikumbusha majamaa kibao hapo wa kitaa,namuona Fanaka na gadi mulla,Safi sana hii blogu Mdau Gurba!
ReplyDelete