Tobo bao huu mchezo masharti yake usipite katikati ya mguu na ukipata bahati mbaya mpira umepita inabidi utafute mjengo wa umeme uushike la sivyo hayo makofi utakayopigwa na wenzako we achaa tu
Kila mtu anaziba miguu yake mpira usipite
Mchezo unaendelea
No comments:
Post a Comment