Mshindi wa kuhifadhi wa juzuu 5 akipokea zawadi toka kwa Mgeni rasmi raisi wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassani Mwinyi katika Ukumbi wa PTA Sabasaba, Mashindano hayo yaliandaliwa na Al Hikma Education Centre ambayo makao makuu yake yapo Temeke Mtaa wa Yombo na Pazi
Mshindi wa kuhifadhi juzuu 30 aliondoka na Bajaj hii
Washiriki katika mashindano wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea vyeti vyao vya ushiriki
Waislam waliojitokeza katika Mashindano ya kuhifadhi Qur-an
Mmoja wa mshindi wa kuhifadhi na kusoma Qur-an akipokea zawadi yake ya TV
Mlemavu wa macho ambaye aliehifadhi juzuu 10 akipokea zawadi yake toka kwa mgeni rasmi
Inatilisha moyo sana kuona waislam wanapiga hatua katika mambo ya kheri!mashaallah,mlemavu wa macho kahifadhi juzuu kumi?mashaallah!
ReplyDeleteAllah Akbar Mungu muweza wa Yote kila la kheri Al-Hikma Mungu awatitilie wepesi katika hili
ReplyDelete