Asalaam Alaykum Warahmatu llahi Wabarakatu
Ama Baada ya Salamu naomba Toa Shukran zangu za Dhati Timu Nzima ya Blog hii ya Jamii Japo Nimechelewa kuwatakia Kheri ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani Wadau wote pamoja na Timu yako Naomba Pokea Salamu zangu na Tunamuomba M/Mungu azipokee Funga Zetu na Dua zetu kwa Ujumla.
Naomba Nita barouk kidogo ( Tupate barka ) kwa Pamoja kwa kukumbushana Siku hii Muhimu katika Siku ambazo Ndio zimeufanya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani kuwa Mwezi Mtukufu nayo Ni Siku ya LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO).
LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) NI USIKU AMBAO
UNAPATIKANA NDANI YA MWEZI HUU MTUKUFU WA
RAMADHANI NDANI YA KUMI LA MWISHO MTUME (S.A.W)
LILIPOKUWA LIKIINGIA KUMI LA MWISHO ALIKUWA
AKIZIDISHA IBADA KWA SANA NA KUWA AMSHA WATU
WAKE ( ALHAL BAYTI ) KWA AJILI YA KUFANYA IBADA
ZAIDI KATIKA KUMI HILO.
LAYLATU QADIR SI MWEZI 27 TU ILA WENGI WA
LAYLATU QADIR SI MWEZI 27 TU ILA WENGI WA
WANACHUONI WAMEJITAHIDI KUWA HIYO NDIO SIKU YA
LAYLATUL QADIR
SIKU HII INAPATIKANA NDANI YA MWEZI 21 , 23 , 25 , 27 ,
SIKU HII INAPATIKANA NDANI YA MWEZI 21 , 23 , 25 , 27 ,
29 , NI JUU YETU NDUGU ZANGU KUITAFUTA SIKU HII
KWA KUFANYA
IBADA KWA WINGI NDANI YA KUMI LA
MWISHO ILI M/MUNGU ATUWEZESHE KUIDIRIKI SIKU
AMBAYO UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIEZI 1000 NA
HUSHUKA MALAIKA NDANI YA SIKU HIYO KWA IDHINI YA
M/MUNGU SUBHANAHU WATAALAAH .
UTUFUKU WA SIKU HII NI UNAPATIKANA KWA MAMBO
MAKUU MAWILI KUTEREMKA KWA QUR AN ( MUNGOZO
WA MUISLAM)
KUSHUKA KWA MALAIKA KWA IDHINI YA MOLA MTUKUFU.
NA IBADA YA SIKU HII UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIEZI
1000.
NI JUU YETU KUHAMASISHANA NAKUKUMBUSHANA
KUWA SIKU HII SI SIKU MOJA NA MUHIMU SANA ILI
KUPATA KUMUOMBA MUNGU NA KULIOMBEA TAIFA LETU
NCHI YETU YA TANZANIA MUNGU KULIPA BARKA.
SIKU HII MUNGU AKIKUBARIKI KUIDIRIKI DUA YA
KUOMBA
NI HII KWA MAELEKEZO YA MAMA AISHA
alimuliza Mtume Jee? tukiidiriki LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) tufanye
nini ? Mtume akajibu kithrisha kusema NASH-HADU ANLAA
ILAAHA ILLA ALLAHU NASTAGHFIRULLAH NAS'ALUKAL
JANNATA ILAAHI WANAUDHUBIKA MINA NNAAR
ALLAHUMA INNAKA AFUWUN TUHIBUL AFWAA
FA'AFUANNAA YAA KARIYMAL AFWU ". Kama alivyosema Mtume
MUNGU NDIYE MJUZI WA HII SIKU LAKINI INAPATIKANA
NDANI YA KUMI LA MWISHO LA RAMADHANI.
Ghalib N Monero.
Al- Azhar University
Cairo Misri
No comments:
Post a Comment